Frame inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA IPO (KITUNDA) KIVULE FREM KUMI
Jumba kuuuubwa sana hujutii
๐BEI MILION 60 MAONGEZ YAPO๐
Ina vyumba v3 na kila chumba kina FENI
dining, siting, stoo, jiko
jipsam, tailiz, perving
๐KISIMA cha maji na tank lake
GARI MOJA TU HAD MJIN
๐Eneo sqm 750 parking kubwa sana
Unatembea tu had stend
0746 433 854