Frame ya Biashara inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


Aina
Frame ya Biashara
Sifa
Maelezo
📢 FRAME INAPANGISHWA – KIJITONYAMA
💰 Bei: 300,000 kwa mwezi
📍 Ipo eneo zuri lenye mzunguko wa watu
⚡ Umeme unajitegemea
✔ Inafaa kwa biashara ndogo na za kati
📞 Wasiliana nasi: 0760288000
💼 Service charge: 30,000/=
🔥 Wahi sasa kabla haijachukuliwa!



















