Frame ya Biashara inapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam


Aina
Frame ya Biashara
Sifa
Maelezo
Fremu Inapangishwa – Mwenge
Unatafuta sehemu ya biashara Mwenge? Hii hapa!
📍 Mwenge
🏢 Fremu ya biashara
💰 Kodi: 300,000 TZS kwa mwezi
Inafaa kwa biashara ndogo kama duka, ofisi au huduma mbalimbali. Eneo zuri lenye watu wengi na biashara zinazokua kila siku.
📞 Wasiliana nasi: 0678 512 666
💵 Service charge: 30,000 TZS
Wahi kabla haijachukuliwa! 🔑



















