Shamba linauzwa Heka, Singida


SHAMBA NZURI LA HEKA 5 linauzwa MKURANGA KISE
Shamba linakisima ndani
Na nyumba ya mlinzi
Bei yake TSH 4.5m kwa kila heka na linauzwa lote pamoja 22.5 maongezi yapo
Linapatikana km 5 kutoka lami
Lina mazao mengi ndani
Minazi mingi
Miembe 9
Miti mbao mingi
Barabara ipo hadi shambani
Site visit TSH 30,000
KUTOKA MKURANGA MJINI Ni dakika 15 tu hadi shambani
Nipigie leo 0785367831
Whatsapp 0769355987