Studio Apartment inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Aina
Studio Apartment
Vyumba
1
Sifa
Maelezo
Master sebule tu
@
Inapangishwa
@
Bei 300,000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 Na dalali 7
@
Pazur Sanaa
@
Ipo kwenye fensi no parkingi
@
Umeme mita yako maji shea
@
Karibu Sanaa ofisni sinza lego
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasilino ya Sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687




















