Viwanja vinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIPO BUNJU B
MABWEPANDE UKUBWA WA KIWANJA NI sqm 1,000
NAVIPO VIWILI UNAWEZA UNGANISHA VIKAWA JUMLA SQM 2,004 
KWAKILA KIMOJA KINA KWENDA KWA *BEI YA Tshs  38ml*
VIWANJA VIPO FULL  HATI 
MAJIRANI WAKISHUA MTAA HATARI
WAHI SASA UISHI USHUANI BOSS




















