Viwanja vinauzwa Chanika, Dar Es Salaam







🚨 VIWANJA VYA NDOTO - CHANIKA NGUVU KAZI! 🚨
✅ Eneo: Chanika, Nguvu Kazi (Tambarare kabisa)
✅ Ukubwa: 400 sqm (16m x 25m)
✅ Bei: Tsh 3.5 Milioni (Bei ya Mteja - Ushindwe Wewe Tu Ndugu!)
🔥 Faida za Eneo:
- Barabara inayopita mbele ya kiwanja
- Majirani wamejenga tayari
- Umeme na maji vipo karibu
- Eneo lenye maendeleo ya haraka
- Panafikika kwa gari lolote bila shida
🏡 Fursa ya Dhahabu!
- Jenga nyumba yako ya ndoto
- Uwekezaji wa uhakika
- Bei inayoweza kujadiliwa kidogo kwa mteja serious
📞 Wasiliana Sasa:
Piga/SMS/WhatsApp: 0688 412 890
📍 Mahali: Chanika Nguvu Kazi - Tambarare
💸 Service Charge: Tsh 30,000/= (tu)
⏳ Mteja wa Kwanza Anachukua! Usikose!
#ViwanjaChanika #NguvuKazi #BeiPoa #UwekezajiSalama



















