Viwanja vinauzwa Chanika, Dar Es Salaam


Secretary kichwa kigumu 😂😂😂 . ANZA NA LAKI MBILI TU
Chanika - mvuti
✅MRADI UNAPATIKANA MITA 600 KUTOKEA MVUTI CENTER
✅HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII IKIWEMO BARABARA,UMEME, MAJI NA MAJIRANI WAPO WAKUTOSHA
✅VIWANJA VIPO KUANZIA SQM 400 HADI SQM 2000
✅SQM MOJA 15,000 MALIPO MIAKA MIWILI
Kigamboni - pembamnazi
✅Mradi huu unapatikana barabara ya kuelekea Buyuni
✅Unapatikana kilomita 30 kutoka Feri na kilomita 1.5 tu kutoka barabara kuu.
✅Mradi huu upo karibu na shule Msingi na shule ya bweni ya Pembamnazi
✅Mradi huu uko tambalale na huduma zote za kijamii zimefika mpaka
kwenye mradi.
✅Mradi huu unauzwa kwa bei ya 12,000tu kwa sqm.
✅Malipo ya mradi huu yanafanyika ndani ya miaka miwili
🟢WASILIANA NASI KUPITIA 0747-607777
KARIBUNI SANA