Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

Viwanja vilivyopimwa Vinauzwa Kibaha Kwa Mathias! Viwanja vipo mita 900 Toka Lami inayojengwa ( Msangani Road)

Viwanja katikati ya Makazi,Maji yapo na umeme! Site imechongwa barabara vizuri,imependeza sana! Kuna miti ya Matunda kama vile miembe,Michungwa na miti ya mikorosho!

Kila mteja atakayenunua Kiwanja ni full Guarantee kwamba lazima ajipatie miti kadhaa ya matunda kuanzia miwili Hati mitano ambayo IPO full matured kuzaa matunda katika msimu wake.

Bei Kwa wateja wanaolipa Cash: 12,500/=
Bei Kwa mteja anayelipa kidogo kidogo 14,000/= na utaratibu wake wa Malipo ni Miezi Sita

Kianzio: 1,500,000/=

Unatembea Lami Kwa Lami! Rough Road utakuwa unatembea 900meters tu! Yani kiufupi ni mahali panafaa kuishi bila stress! Njoo ujenge mji wako mzuri huku Kibaha Kwa Mathias,uishi kama mwamba!

Cananland tunakupa Raha,hatuna Kona-kona! Ni mwendo wa kunyoooka tu! Tunahakikisha tunakupa thamani ya Pesa yako

Mawasiliano
0763 172 814
0659 972868

Office: Kiluvya Madukani.

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 20,000

.𝑼𝑵𝑨𝑯𝑰𝑻𝑨𝑱𝑰 𝑲𝑰𝑾𝑨𝑵𝑱𝑨 KIBAHA MILE MOJA (𝑷𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒊)?✅ Jipatie kiwanja Bora cha maka...

Nyumba inapangishwa Kibaha, Pwani

Sh. 300,000

STAY ALONE MPYA INAPANGISHWAMAHAL KIBAHA KWA MFIPA (opposite na chuo na mwalimu nyerere)IPO MAHALI T...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 37,500,000

ENEO ZURI SANA LINAUZWAMAHALI KIBAHA MWENDAPOLE PLOT HII IPO TAMBARARE KABISAPLOT SIZE 30x50=SQM1500...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 40,000,000

ENEO LINAUZWAMAHALI KIBAHA MWENDAPOLE OPPOSITE NA SHULE YA ENGLISH MEDIUM YA CARISAPLOT SIZE 40x40=S...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani
  • By Installment

Sh. 15,000 per sqm

KIBAHA PANGANI NI WAPI????💎Ukiwa unatokea Maili moja, kabla hujafika stand ya ma-bus ya KIBAHA, kun...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 85,000,000

#NYUMBA INAUZWA KIBAHA MWENDAPOLE #VYUMBA VITATU VYA KULALA#SEBULE KUBWA#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROO...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 9,000,000

KIWANJA KINAUZWAMAHALI KIBAHA MWENDAPOLEUKUBWA WA KIWANJA 30x20(SQM 600)UMBALI KM1. 5 UKIINGILIA NJI...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 1,500,000,000

#GODAUN_INAUZWAMAHALI KIBAHA MISUGUSUUKUBWA WA GODAUN SQM 459UKUBWA WA ENEO LOTE SQM 20,400ENEO LIPO...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 8,500,000

KIWANJA KINAUZWAMAHAL KIBAHA KONGOWEKIWANJA KINA OFFER YA TOFAL 3000KIWANJA KIPO KWENYE BARABARA YA ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibaha, Pwani

Sh. 200,000

APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWAMAHAL KIBAHA KWA MATHIAS OPPOSITE NA AGAKANUMBALI 20 KUTOKA MOROGORO ROA...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 95,000,000

NYUMBA INAUZWA: KIBAHA AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUPDATE LISTED: 25/04/2025HOUSE LOCATION: KIBAHA ...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 59,000,000

PAGALE INAUZWA: KIBAHA AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUPDATE LISTED: 25/04/2025HOUSE LOCATION: KIBAHA ...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 7,500,000

VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWAVIWANJA HIVI VIPO KIBAHA PICHA_YA_NDEGEKARIBU KABISA NA (HOSPITAL MPYA Y...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 650,000,000

INDUSTRIAL AREA FOR SALELOCATION KIBAHA MAILIMOJA NEARBY KIBAHA BUS STANDPLOT SIZE ECAR 7DISTANCE ME...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 650,000,000

ENEO KUBWA KABISA SAFI LINA UZWA KIBAHA MAIL MOJA ENEO LINA HATI SAFI YA VIWANDA.-------UKUBWA WA E...

Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 300,000,000

NUNUA KIWANJA NA UJENGE NA KAMPUNI YA PERFECT PROPERTY✅Kibaha, Visiga MadafuNUNUA KIWANJA NA UANZE K...

Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani
  • Project

Sh. 10,000 per sqm

MRADI MPYA - KIBAHA VISIGA 📞📞 ◻️Umbali ni km 1 toka Barabara ya lami (MOROGORO ROAD)◻️ Umbali ni m...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani

Sh. 45,000,000

45,000,000 mL. KIBAHA DK8 TOKA LAMI House 🏠 🆕 model FOR SALE. .3BEDROOM 1 MASTER SEBLE JIKO DRAINI...