Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


VIKAWE IKO WAPI???
📍Ipo katikati ya Kibaha Pangani na Bagamoyo (Baobab)
📍Ukitokea Bagamoyo road, ni umbali wa 6km kutoka lami hadi site, unaingilia barabara inayorudi Kibaha Pangani kutokea shule ya Baobab ( hii barabara ni kubwa ya mita 20 na tayari imeshawekewa lami kwa upande wa Kibaha)
📍Kutoka kwenye hii barabara inayojengwa hadi kwenye mradi ni umbali wa 1Km tu
📍Umeme na maji na majirani wapo
UKUBWA WA VIWANJA
📍Viwanja vinaanzia sqm 400 na kuendelea na vimekaaa sehemu ambayo unaweza kuunganisha
BEI NA UTARATIBU WA MALIPO
🌺Cash : 15,000 kwa sqm moja
🌺Installment : 16,000 kwa sqm moja
Unalipa nusu ya malipo, halafu nusu inayobaki unalipa ndani ya miezi 6, sio lazima ulipe kila mwezi
💫SITE VISIT NI KILA SIKU
☎️0659540265 / 0718354943
📍IPS BUILDING, 5th floor, Posta


















