Viwanja vinauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA, VIPO KATIKA MTAA MZURI ULIOPANGIKA
KIBAMBA SHULE / D.S.M Tz
Plot size - METER 20 X 20
SAWA NA SQMT 400.
VIPO VIWANJA VIZURI VINNE, UNAWEZA KUUNGANISHA VIWANJA HATA VIWILI MPAKA VITATU, NI PESA YAKO TU..
*💥BEI YAKE NI MILIONI: 17.*
*MAONGEZI KIDOOGO SANA YAPO.*
HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO, MAJI SAFI DAWASA, UMEME PAMOJA NA SHULE..
DOCUMENTS >> HATI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA..
Piga cm.. Usitume msg.. 0672 673363 / 0763 219307
KWENDA KUONA VIWANJA 20K.
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA



















