Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


SISI TUPE MAJI TU VIBE TUNAKUJA NALO😂😂😂 BILA KUSAHAU TUNA MIRADI PAMBE SANA PALE
✅KIGAMBONI PEMBAMNAZI
🟤Mradi huu unapatikana barabara ya kuelekea Buyuni Unapatikana 🟤kilomita 30 kutoka Feri na kilomita 1.5 tu kutoka barabara kuu.
🟤Mradi huu upo karibu na shule Msingi na shule ya bweni ya
Pembamnazi
🟤Mradi huu uko tambalale na huduma zote za kijamii zimefika mpaka
kwenye mradi.
🟤Mradi huu unauzwa kwa bei ya 12,000tu kwa sam.
🟤Malipo ya mradi huu yanafanyika ndani ya miaka miwili
✅MVUTI-CHANIKA
🟤MRADI UNAPATIKANA MITA 600 KUTOKEA MVUTI CENTER
🟤HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII IKIWEMO BARABARA,UMEME, MAJI NA MAJIRANI WAPO WAKUTOSHA
🟤VIWANJA VIPO KUANZIA SQM 400 HADI SQM 2000
SQM MOJA 15000TU MALIPO NDANI YA MIEZI 24
🟢WASILIANA NASI KUPITIA 0747-607777
KARIBUNI SANA
#viralreelsvideo❤️ #treandingreels #wekezanaardhi #viralreels