Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

HII NI OFA KAMBAMBE KWA AJILI YAKO. Kumbuka Kwetu bei ni Mserereko, Kuanzia Milion 3.5 unamiliki Kiwanja KIGAMBONI MBUTU KICHANGANI. Unasubiri nini? Mradi wetu ni mzuri sana na Mandhari ya kuvutia..

Mradi upo karibu na bahari, ni mita 900 tu kufika baharini, pia ni Karibu na Hotel kubwa ya kisasa ya AYA SOPHIA VILLA.

Eneo lote limezungwa na mji mzuri, na huduma zote za kijamii zinapatikana kama Umeme, Maji, Hospital, Shule, Soko n.k Eneo ni tambarare, Barabara zote zimechongwa vizuri na zinapitika kipindi chote.

Kutokea Ferry Mpaka Kwenye mradi ni Km 18 tu, na kutokea Barabara kubwa ya Ferry -Kigamboni mpaka Mbutu Kichangani ni Km 3. Usafiri unapatikana muda wote.

Ukubwa wa Viwanja, Unaanzia Sqm 200, Sqm 300, Sqm 400 , Sqm 500 na Kuendelea. Ukubwa wowote unaotaka utapata ni wewe na bajeti yako tu. Kwa maelezo zaidi tupigie/Whatsaap 0711677199/0744847199.

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,200,000

🏡VIWANJA_VINAUZWA 📍 Location: Kigamboni - MwasongaMiundombinu✅ Barabara ya gari (mita 12) inafika ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location ungindoni <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebul...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISIWAN 》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KIBADA 》Nyumba ina VIWILI KIMOJA MAST...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISOTA 》Nyumba ina VYUMBA VITATU KIMO...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KIBADA 》Nyumba ina VIWILI KIMOJA MAST...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)■location; Kigamboni, KISIWAN 》Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

HOUSE FOR RENT FULL FURNISHED VYUMBA VITATU VYA KULALA VIWILI MASTER SEBULE DINNING NA JIKO LA KISAS...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE DINNING NA JIKO KUBWA LA KISASABEI NI 6...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

SITE VISIT KWETU NI BURE KABISA, TWENDE SITE WEEKEND HII UKAJICHAGULIE KIWANJA CHAKO KIZURI KABISAOF...

HAPPY SUNDAY🙏🙏🙏🙏SITE VISIT KWETU NI BURE KABISA, TWENDE SITE WEEKEND HII UKAJICHAGULIE KIWANJA C...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE DINNING NA JIKO KUBWA LA KISASABEI NI 6...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 15,000,000

VIWANJA VIWILI NAVIUZA KIGAMBONI 0767672719📱0713672729Location mwasonga bei milioni 15 kila Kiwanja...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

SITE VISIT KWETU NI BURE KABISA, TWENDE SITE WEEKEND HII UKAJICHAGULIE KIWANJA CHAKO KIZURI KABISAOF...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Kisarawe 2️⃣✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 3 vya kulala (Vyote...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Darajani ✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 3 vya kulala (Kimoja M...