Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI YA KIWANJA NI MILION NA LAKI TATU TU. (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI. Simu ziite📞0711677199/0744847199

Kwanini ununue kiwanja kwenye mradi wetu wa KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORISI !! ✨ Hapa kuna sababu za kufanya hivyo:

1️⃣ Mradi upo Katikati ya mji kabisa, Majirani wapo wa kutosha na wamejenga nyumba za maana.

2️⃣ Mradi uko karibu na barabara kuu itokayo Mji Mwema Kwend Buyuni, ni mita 500, hivyo kunakupa urahisi wa kufika kwako bila usumbufu na gharama kubwa.

3️⃣ Miundombinu bora: Mradi una huduma zote muhimu kama maji na umeme. Ukiachana na makazi bora, pia huduma muhimu za kijamii kama shule na hospitali zipo.

4️⃣ Mandhari ya kipekee na ya kifahari: Upepo Mwanana Toka baharini maana ni Km 1.5 Kwenda Ufukweni.

5️⃣ Viwanja vimepimwa kwa Ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunga Viwanja kuanzia viwili, vinne, sita na kuendelea inategemea na bajeti Yako.

6️⃣ Umbali kutoka Ferry mpaka KIMBIJI kwa Moris ni Km 35. Unapanda gari Moja toka Ferry zinazokwenda Buyuni unashukia KIMBIJI kwa Moris. Wakati wewe unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakuta watu washachukua maeneo yao. Fanya maamuzi sahihi na umiliki kiwanja cha ndoto zako! Nipigie 0711677199/0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 285,000,000

APARTMENTS ZINAUZWAZIPO SITA KWENYE ENEO MOJA ZINAUZWA KWA PAMOJA LOCATION KIGAMBONI KIBADA DAR-ES-S...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥✅UMBALI 30KM TOKA FERRY ✅VIWANJA VIMEPIMWA/SURVEY APPROVAL ✅UK...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000,000

Nyumba Inauzwa Kigamboni Dege👉BEI MILION 18 TU👈Ina vyumba VIWILI kimoja masta Dining, siting, jiko...

Nyumba/Apartment inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Apartment 5 zinauzwa kigamboni kisiwaniBei;Milion 85Kutoka ferry km 6 tuMfumo ni chumba master na J...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KONA YA CHUOBEI:MILION 45UKUBWA;SQM 1898CALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 30,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI CHEKA BEI;MILION 30UKUBWA:SQM 2000VIPO VIWILI UNAWEZA UNGANISHACALL 07421...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 35,000

SITE LOCATED AT DEGE( Dege ecco village ) KIGAMBONI which is 📌17km from kigamboni ferry 📌18km fro...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI Location; KIBADA KIGOGO , kigamboni VIWANJA VIPO VIWILI VIMEFUATANA Plot ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥0767053517👉🏾UMBALI 30KM TOKA FERRY 👉🏾VIWANJA VIMEPIMWA/SUR...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 385,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KISOTA KIGAMBONI VYUMBA VINNE Plot size ; sqm 20...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 250k kwa mwezi Zipo kigambo...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 200k kwa mwezi Zipo kigambo...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 830,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KIBADA KIGAMBONI VYUMBA VINNEPlot size ; sqm 110...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 235,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA ______________#location_kigamboni_kibada _______________Miundombinu Yake____baraba...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; MIKWAMBE FUN CITY KIGAMBONI VYUMBA VINNE Plot si...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 59,500,000

SITE LOCATED AT GEZA ULOLE KIGAMBONI which is 📌14km from kigamboni ferry 📌15km from kigamboni dara...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

Nyumba zinauzwa kigamboni kisiwani bei milioni 85 zipo 5👍

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

HOUSE FOR SALE// NYUMBA YA KUUZWA➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖📍Location : DEGE ECO VILLAGE , KIGAMBONI (12km fr...