Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam





Barabara ya lami kuelekea Mwasonga inaendelea kujengwa kwa ubora wa juu sana na speed ya watu kununua maeneo kujenga makazi na kuhamia Mwasonga imeongezeka sana.
Ushauri: Mwasonga ya leo siyo Mwasonga ya miaka miwili au mitatu inayo kuja Kama utakuwa na uwezo wa kununua Viwanja Mwasonga nunua sasa bila kukawia kwa maana itafika wakati bei zitakuwa hazikamatiki na hautokuwa na wakumlaumu maana uliziona fursa ukazipuuzia
NB: tumekusogezea mradi mzuri sana wa viwanja upo Ki Kigamboni Mwasonga mtaa wa Mkamba kwa bei sawa na bure kabisa ya Tsh: 8000/= Tu kwa square meter
Anza na malipo ya Tsh : 1,000,000/= Tu kiasi kinacho baki lipia kidogo kidogo kwa miezi 12 Tu (Mwaka mmoja)
#call: 0767358229
#viwanja #hakunamatata #tanzania #ᴛʀᴇɴᴅɪɴɢpost


















