Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Tumevunja bei sasa!! Kwa MILIONI MOJA NA LAKI TATU TU. (1,300,000/=) Unapata kiwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORIS 0711677199/0744847199.

Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote pale. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee🤗

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea kulingana na bajeti yako. Viwanja ni tambarale na havikai maji.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Wakati wewe Bado unajivuta vuta kuja kuchukua kiwanja chako, utakutana na neno la SOLD OUT 🤪 JAMANI SIMU ZIITEE 📞 0711677199 au 0744847199.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA YENYE ENEO KUBWA SANA LINAUZWAKIGAMBONI MJIMWEMA MITA 300 TOKA LAMIPLOT SIZE 2000SQMVYUMBA 3,...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Vyumba 2 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kijiji beach 🏖️ <>Ukubwa wa eneo SQM 3800✅HATI YA WIZALA<> pr...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko mpya ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 14,000,000

offer ya miez 18 kigamboni cheka Mfano sqm 400 bei 14,000,000 kila mwezi 777,777.77777777 Kwa miez 1...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Chumba Kimoja Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,900,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada kisalawe II◾️ukubwa wa eneo SQM 12500 (heka 3)✅HATI YA ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location kibada kisalawe II<> Ukubwa wa eneo SQM 5500✅HATI YA WIZALA◾️P...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 57,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __MITA 300 KUTOKA LAMI __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTE...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 1,000,000

Wiwanja vipo Kigamboni Mwasonga MkambaKilomita 2.5 kutoka barabaraniSize ya Viwanja ni kuanzia Sqm 4...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 110,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) inafi...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 175,000,000

#HOUSE FOR #SALE KIGAMBONI <> location geza ulole <>Ukubwa wa eneo SQM 600✅HATI YA WIZALA◾️price: Mi...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA __BOMA LINA VYUMBA V4 VYAKULALA VYOTE MASTER __SEBULE DINING JIKO ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 43,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni Geza Ulole ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) i...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisota 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa Ye...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location geza ulole block 20◾️ukubwa wa eneo SQM 716✅HATI YA WIZALA ◾️p...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMNA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location mikadi beach 🏖️ <> nyumba ina chumba kimoja master mpya ...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 100,000

*KIGAMBONI CHEKA BEACH PLOTS*🏖️Km24 kutoka ferry 🏖️Km 4 kutoka Barabara kuu ya Lami🏖️Huduma zote ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000,000

#PLOT FOR #SALE KIGAMBONI <> location geza ulole <> ukubwa wa eneo SQM 400✅HATI YA WIZALA ◾️price: M...