Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


MRADI MPYA - KIGAMBONI CHEKA.📞📞0767053517
◻️VIWANJA VIMEPIMWA VYA MAKAZI
◻️Umbali ni km 21 toka ferry
◻️Mradi upo karibu na Shule ya DAARUL ARQAM ISLAMIC SCHOOL.
◻️Umbali ni km 1.5 toka barabara ya lami (CHEKA ROAD)
◻️Bei ni 28,000 tu kwa sqm 1 malipo ya cash
◻️Bei ni 30,000 tu kwa sqm1 malipo ya awamu miezi 4
◻️Ukubwa ni 789 hadi 1000 SQM
◻️Huduma zote muhimu zipo eneo la mradi I.e MAJI, UMEME,BARABARA na JIRANI amejenga anaishi.
◻️Eneo lipo barabara kubwa ya kuelekea kwa MKUU WA MAJESHI TANZANIA. iliyopo kwenye Mpango wa lami.
◻️Mteja atapatiwa HATIMILIKI baada ya kukamilisha malipo yote.
MIRADI YETU MINGINE
▫️KIBAHA VISIGA.
▫️KIBAMBA KIBWEGERE
▫️BAGAMOYO KEREGE
▫️BAGAMOYO MAKURUNGE
▫️KIGAMBONI KIMBIJI PUNA
OFISI ZETU ZIPO MWENGE BAMAGA, JENGO LA DORA TOWER, 4th Floor.
KARIBUNI SANA
Call/Whatsap 0767053517
viwanja_bora_kabisa_tz