Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Ikawe Kheri kwa Mwezi pili (February)
Aya sasa visingizio vilikuwa vingi ooh! January sijui aya final imeisha.🙏
🌍Miliki kiwanja chako sasa na jasiri_land_company_limited
⭐Tuna Viwanja Kigamboni Gezaulole mradi huu upo karibu kabisa na Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni (4km)
⭐Pia tuna Viwanja Kigamboni Tundwi Songani mradi huu upo njia ya Mwasonga na bei yake ni simple mno Sqm 1 ni elfu 5000/= , Huduma zote za kijamii zina patikana.
📍Ofisi zetu zipo Kigamboni Kijaruba (opposite na shule ya msingi Maweni) Flame ya kwaza kushoto.
🏗️Kwenda kuona viwanja tunaenda kila siku toa taarifa kupitia namba:-
☎️#0621314675 au #0712390895
#kigamboniviwanja #realestate #tundwisongani #memes #2024