Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 17,000 per day
Project
Yes

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517

👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zinazotambulika na wizara ya ardhi

👉🏽2.Km toka Barabara kubwa ya mwembemdogo iliyo chini ya Tarura iliyo kwemye mpango wa Lami.

👉🏽Good neighborhood (majirani watu wa bandari TPA).kiufupi ni mji wa kishua.

👉🏽Huduma za kijamii zipo,uzuri ni kwamba hapa ukichimba kisima kina kigupi maji ni ya baridiiiiiiiiiii hakuna chumvi kabisa.

👉🏽Bei elekezi hapa tumesusa kwa ;-
Malipo ya cash: 15,000/=
Malipo ya installment :17,000/=

👉🏽Site visit ni bureeee kabisa na ni kila siku .

👉🏽Uzuri ni kwamba kwetu sisi Hatimiliki ni uhakika na kwa haraka.

TUNAPATIKANA MWENGE-BAMAGA JENGO LA DORA TOWER 4th FLOOR

AU TUPIGIE KWA NAMBA 0767053517

viwanja_bora_kabisa_tz
viwanja_bora_kabisa_tz
viwanja_bora_kabisa_tz

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 25,000

*SIFA ZA MRADI* 📌 Mradi upo mita chache tu kutoka CHEKA STAND , unaingia upande wa Kushoto Kutokea ...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000,000

NYUMBA NZURI YA GHOROFA INA UZWA KIGAMBONI KIBADA BEI BILIONI 1 NYUMB INA VYUMBA VITANO VYA KULALA S...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

BEACH PLOT FOR SALE KIGAMBONI GEZA ULOLE IKO DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 BEI:SH MILIONI 120HATI TITL...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni degeBei;MILION 55Ukubwa;sqm2775Kutoka lami dakika 7 tu Kwa mguuCall 07421...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA NI MPYAA WAI UWEKE BOOKING...💥📍LOCATION KIGAMBONI DARAJANI👉INAPANGISHWA 💰; 400,000 KWA M...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000,000

NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA KIGAMBONI KIBADA BLOCK 18IKO DAR ES SALAAM TZ 🇹🇿 BEI BILIONI 1 MAONGEZI ...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MIKWAMBE __INA VYUMBA V4 VYAKULALA KIMOJA MASTER SITING DINING JIKO LENYE N...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 25,000

*SIFA ZA MRADI* - Mradi upo mita chache tu kutoka CHEKA STAND , unaingia upande wa Kushoto Kutokea K...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

#NYUMBA MPYA MPYA KABISA INAUZWA KIGAMBONI KOGOBEDI-MWASONGA#VYUMBA VITATU VYA KULALA#SEBULE KUBWA#D...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...

Sh. 350,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master Sebule na jiko Kodi 350k kwa mwezi Zipo kigamboni mj...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,400,000

Nyumba inapangishwa inajitegemea Vyumba 5 vya kulala vyumba 4 ni master bedroom Sebule Kubwa jiko Ku...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule Kubwa j...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000,000

HAPA NI KIGAMBONI CHEKA BEI MILIONI 450 CALL 07131430920759618461Hati ya wizara hapa

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni gezauloleBei;Milion 20Ukubwa;SQM 400Call 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

PLOT FOR SALE /KIWANJAINAUZWA KIGAMBONILOCATION: KISIWANI MKOLEA , KIGAMBONIUKUBWA; # 450AENEO LINA ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA📍Kigamboni-Darajani💰350,000X5 Na mwezi mmoja wa dalaliDetails•Vyumba viwili v...