Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BEI NI MILION MOJA NA LAKI TATU TU (1,300,000/=) Unamiliki Kiwanja chako DAR ES SALAAM, wilaya KIGAMBONI Kata ya KIMBIJI, Mtaa wa Kwa Moris. 0711677199/0744847199.

🤔Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu KIGAMBONI ndani ya Mkoa wa DAR ES SALAAM utapata Kwa bei ya Milion 1.3 Tu. Sehemu ambayo ina Umeme tayari, Majirani wenye nyumba za kisasa, Maji ya DAWASA.

➡️ Viwanja ni vizuri sana, ni Viko Tambarale, na tayari Kuna majirani wa kutosha na sio mbali na barabara ya Mji Mwema-Buyuni.

➡️ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k

👉 Umbali ni Km 35 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 500 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 1.5 toka BAHARINI.
____________________________
👉 BEI YAKE SASA NI =Tsh 1,300,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita, nane na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________

USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Ukipanda gari za Buyuni unashukia Kwa Moris, kutoka hapo unaweza tembea au pikipiki 1000 maana sio mbali na barabara. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.

🤝KARIBUNI SANA KIGAMBONI.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni geza block 24📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; KIGAMBONI MWONGOZO NSSF ( mwongozo beach)👉Plot size: SQM 711Dimensions; mita 21 kwa mita ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NEW APARTMENT MPYA KABISA KALI SANA INAPANGISHWA LOCATION KIGAMBONI DARAJANI BEI LAKI 6 KWA MWEZI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni geza block 18📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kibada block📍Umbal wa kilometer 8 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia um...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni kisotaKutoka ferry km 6Bei;MILION 90Ukubwa;SQM 890Call 0742121038

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 16,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni Kona ya chuoBei Milion 16Ukubwa;SQM 705Call 0742121038

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

*Nyumba inauzwa Tuangoma, Kigamboni**Distance* Nyumba ipo mita 70 tu kutoka barabarani kubwa-Nyumba ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

dalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto kwa picha zaidi* (APARTMENT M...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni Kona ya chuoBei;MILION 17Ukubwa;SQM 705Kutoka lami MITA 100Call 074212103...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI DEGE Bei;MILION 170Ukubwa;SQM 774Call 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 16,500,000

HAPA NI KIGAMBONI MWEMBE MDOGO KONA YA CHUO CHA AFYA MITA 200 KUTOKA LAMI KIWANJA SQR MITA 705 HATI ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni geza block 15📍Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni 📍Napia ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 13,060,000

Kigamboni mwasonga Malipo ya mkopo wa miez 20 Sqm 653 bei 13,060,000 kwa mwezi 653,000☎️0743930000

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 511,750

HOUSE FOR RENT STEND INAPANGISHWA KIGAMBONI __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER SEBULE DINING JIKO L...