Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Karibu ujipatie Kiwanja Kigamboni Mwembe mdogo, Karibu kabisa na chuo cha Afya Kigamboni City College🏫🔬🥼
Sifa za Mradi:-
🔴 Viwanja vimepimwa na vinatambulika na wizara husika ya Ardhi, nyumba na maendeleo y jamii.
🔴 Viwanja vimezungukwa na huduma zote za kijamii kama vile:- Umeme,Maji,Barabara na Hospitali.
🔴 Viwanja vinaukubwa kuanzia SQM 350-800
🔴 Umbali kutokea Kigamboni Ferry - Mradi ulipo ni 25Km na Kigamboni Darajani ni 22Km.
🔴 Bei ya SQM 1 ni elfu 20000/= Tsh.
☎️ Wasiliana nasi:- 0750 177 085
📍Ofisi zetu zipo Kigamboni Kijaruba (Opposite na Shule ya Msingi Maweni)
#kigamboni #viwanja #kiwanjabeinafuu #kiwanja_kinauzwa #kiwanjakinauzwa #daressalaam #kigambonimpya #kigambonicitycollege #kigambonikumewakaa #kigambonibeach