Viwanja vinauzwa Kikombo, Dodoma


MRADI WETU WA KIKOMBO UNAELEKEA KUISHA, WAHI KIWANJA CHAKO MAPEMA
UMBALI WA KUTOKA KWENYE MRADI
Kutoka mjini Kati ni km 27
Kutoka MTUMBA mji wa SERIKALI ni km4 adi km5
Kutoka Barabara ya Dodoma Morogoro ni km2
Ni karibu kabisa na Barabara mpya lami ya kwenda makao makuu ya JESHI DODOMA
Ni km 3 adi ilipo shule ya bunge
Km 1 adi Km 2 adi ilipo Hospital ya mionzi
Pia ni km 4 adi IKULU YA CHAMWINO
Bei ya sqm 1 kwa viwanja vya makazi ni 7000/ tuu
Bei ya sqm 1 kwa viwanja vya BIASHARA ni 10000/ tuu
Gharama hizi ni pamoja na mandalizi ya hati
Eneo kimepimwa na Lina uduma zote muhimu kama
MAJI✅
Umeme ✅
Tumechonga Barabara zote za mitaa
NK
TUNAKUPA NAFASI YA KULIPA KIDOGO KIDOGO ADI UMALIZE MALIPO YAKO