Viwanja vinauzwa Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA ๐ฅ KIWANJA ๐ฅ KIZURI SANA KIKUBWA SANA
KINAUZWA KIMARA TEMBONI ( SARANGA)
๐ฅ SIFA ZA KIWANJA:>>
#MBELE YA KIWANJA HIKI KIMEJENGWA FREM (8) ZA BIASHARA/ UNFINISHED 
# KIPO SEHEMU NZURI 
#KINAFAA KUJENGWA NYUMBA KUBWA YA KUISHI KIFAMILIA, AU NYUMBA ZA BIASHARA (APARTMENT'S)
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE METERS  4550.
๐ฅBEI  MILION 110 
MAONGEZI YAPO 
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA HIKI NI KM 2. 
USAFIRI<<>>>
 
BAJAJI. TSH700/=
PIKI PIKI. TSH1000/=
NA ENEO HILI LIPO PEMBEZONI MWA BARA BARA INAYOENDELEA KUJENGWA KIWANGO CHA LAMI.
NDANI YA ENEO HILO, KUNA VIWANJA VIWILI TAYARI VINA HATI SAFI KUTOKA  WIZARANI (CLEAR TITLE DEED) NA UPANDE MWINGINE  BADO HATI ZAKE HAZIJATOKA๐๏ธ
________________
0779646072




















