Viwanja vinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 310,000
Project
Yes

BAHARI BEACH PROJECT AD.

Upepo unaousikia unavua kutokea Bahari Beach, Dar es Salaam, Tz.
Na Kama unanisikia mimi nisikilize nikwambie, Viwanja vya Makazi Vinauzwa Bahari Beach karibu kabisa na Bara Beach.

Viwanja hivi vinawakilisha fursa dhabiti ya uwekezaji, huku eneo lake la kimkakati likihakikisha uwezekano mkubwa wa kupanda kwa thamani kadri muda unavyokwenda.

Umeme na Maji vinapatikana kwa urahisi yaani miundombinu yote ipo vizuri. viwanja hivi ni unanunua na kuanza kujenga mara moja bila stress za upimwaji na kufatilia hati kwani Viwanja vyote vimepimwa na vina hati kutoka Wizara ya Ardhi.

1.⁠ Viwanja vino kutoka Baharini ni ⁠chini ya mita 100
2.⁠ ⁠750m tu kutoka Barabara Kuu
3.⁠ ⁠10m Kuendesha gari hadi Barabara ya Bagamoyo
4.⁠ ⁠ 5km tu kutoka Kunduchi Beach Resort
5.⁠⁠⁠⁠⁠Shule nyingi za Msingi na Sekondari katika Eneo hilo ikiwa ni pamoja na Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Feza.

Wahi sasa maana viwanja ni vichache na vizuri vyenye ukubwa wa wastani wa 1000m2.

Bei ni kuanzia TZS 310,000/= kwa sqm kiasi hiko ni pamoja na gharama za uhamisho wa umiliki wa kiwanja. Kwa maelezo zaidi tupigie
0768 426 942 au 0659156315.

WEKEZA BAHARI BEACH LEO, ARDHI HAIJAWAHI KUSHUKA THAMANI.

THINK BIG REAL ESTATE
think_big_realestate
THINK BIG REAL ESTATE

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000 per month

Bar ina uzwa ipo kunduchi mtonganiIna counter mbili jiko chooNa chumba cha wafanya kazi Kwasasa ina ...

Kiwanja kinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000 per month

Bar ina uzwa ipo kunduchi mtonganiIna counter mbili jiko chooNa chumba cha wafanya kazi Kwasasa ina ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-KUNDUCHI BEACH JESHINI______________...

HOUSE FOR RENT APARTMENT FIXED PRICE:LAKI 8 per MonthDIRECTIONS: KUNDUCHI BEACH [DAR_ES_SALAAM]COUNT...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 750,000

NEW APARTMENT HOUSE FOR RENTVYUMBA VIWILI VYA KULALAIKO DAR ES SALAAM TZLOCATION: KUNDUCHI MTONGANIK...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 750,000

NEW APARTMENT HOUSE FOR RENT VYUMBA VIWILI VYA KULALAIKO DAR ES SALAAM TZ LOCATION: KUNDUCHI MTONGAN...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

Nyumba hii ipo kunduchi mtongani ina vyumba 3 ni apartment inapangishwa laki800000 kwa mwezi malipo ...

Kiwanja kinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM-TzMAHALI - KUNDUCHI BEACH _____________________________UKUBWA ~...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

DATE: 28/12/2025HOUSE FOR RENT: INAJITEGEMEA/ STAND ALONE ASKING PRICE: MILIONI 1.2TERMS OF PAYMENT...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba hii ipo kunduchi beach Ina vyumba 3 inajitegemea inapangishwa mil 1 kwa mwezi malipo miezi 60...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba hii ipo kunduchi beach Ina vyumba 3 inajitegemea inapangishwa mil 1 kwa mwezi malipo miezi 6C...

Kiwanja kinauzwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM TzMAHALI - KUNDUCHI BEACH 🏖️ _____________________________UKUB...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 30,000

FURNISHED APARTMENT TO LET.....~Features:✔️2 bedrooms(all en suite )✔️Sitting room✔️Kitchen cabinets...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- KUNDUCHI BEACH NEAR P...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- KUNDUCHI BEACH Karibu n...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- KUNDUCHI BEACH NEAR P...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi BeachPrice: 2.7m Per Month☑️3Bedrooms, 1 Is ...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi BeachPrice: 2.7m Per MonthTerms: From One Mo...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Fully Furnished Luxury Villa For RentLocation: Kunduchi BeachPrice: 2.7m Per MonthTerms: From One Mo...