Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Viwanja vizuri sana vinauzwa:
Mtaa mzuri sana wa kibabe
Vipo viwanja 13 vya kuwahi havikai
Ukubwa kuanzia sqm 600 had 1100
Bei- 85,000/= kwa sqm 1 maongezi yapo
Location- madale mivumoni
Umbali-mita 500 kutoka lami mpya ya mivumoni
Karibuni 0625584914


















