Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam


Mradi wa viwanja vilivyopimwa unapatikana Madale mivumoni ,takriban kilomita 4 kutoka Goba center na umbali kutoka barabara ya lami mpaka kwenye mradi ni kilometer moja na nusu (1.5km)
Bei zetu ni shilingi 25,000 kwa square metre na ukubwa ni kuanzia square metre 400.
Unaweza kufanya booking online kwenye website yetu www.kediproperty.co.tz ama tupigie kwa namba zetu 0738403020.