Viwanja vinauzwa Mawasiliano, Morogoro


Habari za Leo ndugu zangu,
Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kiluvya Makurunge, Fedha Sekondary
Ni km 10 toka Morogoro Road! Ukubwa wa Viwanja ni kuanzia 400m² yaani 20 x 20 au 16 x 25
Mfumo wa malipo
Kianzio: 1,000,000/=
Kiasi Kilichobaki kinalipwa kidogo ndani ya miezi 12
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814



















