Viwanja vinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 9,600,000
Project
Yes

KAMPUNI YA RAMAHA LAND TUMEKULETEA SITE MPYA YENYE VIWANJA ZAIDI YA 300 KWA SH 1,600,000/
_____________________________________
0741194541 , 0699088721)!0674582245whtasp
____________________________

Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji πŸ›Ί 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.

UKUBWA WA VIWANJA
Fut 50 kwa 40 Tsh 1,600,000/ anza na laki nane

KWA MITA KUNA MITA
12Γ—15= 1,600,000/
24Γ—15= 3,200,000/
24Γ—30= 6,400,000/
30Γ—36= 9,600,000/
24Γ—45= 9,600,000/

Anza na 50/% nusu ya bei kisha ulipe kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.

Site hii ina sifa zote
Ni tambarale
Maji yapo
Umeme upo
Imepakana na shule ya msingi ya Mipeko C
Ipo karibu na sekondari ya Tambani
Imepakana na eneo lililotengwa kwa ajili ya zahanati.

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 60,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM KITCHEN TOIL...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM masters bedroom stingiroo...

Sh. 85,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi Saku mwisho nyumba ya vyumba 3vya Kulala STINGIROOM DAININGIROOM ...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

NYUMBA NZURI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 160IPO MBAGALA MAJI MATITU JILANI NA STEND KUU YA ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 48,000,000

NYUMBA NZURI SANA INA UZWA TSH MIL 48 TUIPO MBAGALA KISEWE JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE INA...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

Nyumba nzuri sana ina uzwa tsh mil 27 tuNi nyumba ya 8 tuKutoka bara bara kuu ya lami ya chamaz Nyum...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

Njoo πŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ boss wangu nkuzie hii nyumba kalli sana Ina uzwa tsh mil 110 tuIpo mbagala chamaz miku...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NJOO NKUZIE HII NYUMBA BOSS WANGU NYUMBA KALLI SANA INA UZWA TSH MIL 110 TUNYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

Nyumba inauzwa mbagala Chamaz Bei ml 110Ina vyumba vitatu kimoja masta Ina sebule dinng jiko public ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

MBAGALA KIPATI KWA MANGAYANI NYUMBA MPYA NDANI YA FENSIPANDE ZIPO NNEMBILI JUU MBILI CHINIKILA UPAND...

Kiwanja kinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Kiwanja kipo mbagala sabasaba kwa mpiliBei ml 150Mita 20x20Haya wawekezaji hii plot ni ya pili kutok...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA/MADUKA YENYE HATI,TSHS.50 MILIINI,MBAGALA SABASABA.Hapa ni KWAMPILI.Kiwanja kina Ukubwa wa SQ...

Kiwanja kinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Kiwanja kipo mbagala sabasaba kwa mpiliBei ml 150Mita 20x20Haya wawekezaji hii plot ni ya pili kutok...

Kiwanja kinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Kiwanja kipo mbagala sabasaba kwa mpiliBei ml 150Mita 20x20Haya wawekezaji hii plot ni ya pili kutok...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

Nyumba inauzwa ipo mbagala sabasaba kwa mpiri nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroo...

Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

NYUMBA KALLI SANA INA UZWA TSH MIL 85 TUMAONGEZI NJOO SITE UKAGUE NYUMBA UKILIZIKA TUTA ONGEA NAE MW...