Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 2,000,000
Project
Yes

HAPA NI ZINGA BAGAMOYO BARABARANI, UKIONA BANGO HILO JUA MRADI WETU NDIO UPO HAPOHAPO.

TUNATOA HATI BURE KABISA HAPA

๐Ÿ“Œ Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka mwaka mzima yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa mwaka mzima.

๐Ÿ“Œ Malipo utaanza na 2milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya mwaka mzima.

๐Ÿ“Œ Ukimaliza malipo hati yako unaikuta mezani ofisini kwetu.

๐Ÿ“Œ Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

๐Ÿ“Œ Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

๐Ÿ“Œ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

#VYUMBA_VIWILI APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH ______________KODI TSHS ...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X3)MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 8-12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD_____________SIFA YA NYUMBA ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAM๐Ÿ“ENEO- TEMBONI Upande wa kulia kama unaenda mbezi๐Ÿ“BEI - 120,...

Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

NYUMBA NZURI MNO NA IKO MTAA MZURI MBEZI KWA MSUGURI INAUZWA###VYUMBA V4 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH UPANDE WA JUU MASANANyumba lami hugus ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI BEACH UPANDE SHOPPREZ______________________#...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

NYUMBA IYO INAUZWA@Bei milioni 300 ( maongez )@Mahali mbezi kwa msuguli@Kutoka kituoni mpaka kwenye ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 01/02/20...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

Nyumba Mpya InauzwaMahali: Mbezi Kwa MsuguriBei: Milioni 130 (Mazungumzo)โ˜‘๏ธUkubwa: Sqm500โ˜‘๏ธSifa: Vyu...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

HOUSE FOR SALE MBEZI MWISHO KWEMBEINA VYUMBA VITATU SEBULE DINNING JIKOMASTER PUBLIC ENEO SQM 500BEI...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000 ร— 6) ๐— ๐—•๐—˜๐—ญ๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—ฆ๐—จ๐—š๐—จ๐—ฅ๐—œAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 260,000,000

NYUMBA ZINAUZWA ZIPO 2 KWENYE ENEO MOJA__________________LOCATION MBEZI MALAMBA MAWILI DK 0_________...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

Ploti for salePrice milioni 500 mL maongezi Location mbezi beach upande wachini Ukubwa wa eneoNi sQm...

Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Nyumba mbili ndani ya kiwanja kimoja zote kwa pamoja zinauzwa Nyumba zipo mbezi msakuzi Hii ni fungu...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI MALAMBA MAWILI BEI MILLION 110 MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA UKUBWA WA ENEO SQM...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

Ploti for salePrice milioni 270 mL maongezi LocationLocation mbezi beach africanaUpande wachiniUkubw...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

Ploti for salePrice milioni 500 mL maongeziLocation mbezi beach upande wachiniUkubwa wa eneoNi sQm 1...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

Stand aloneHouse for rent3roomsPrice 2,000,000KwamweziMalipo miezi 12Location mbezi beach kwazena

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6๐ŸŒŸAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUMB...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

0679 997610 APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA #BEI NI 500,000/= X 6 I...