Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MRADI UMEPATIKANA DAKIKA ZA JIONI SANA ..MCHELEWE NYINYI TU.

Wewe unakopeshwa kiwanja mbweni tena mkopo wa miezi sita(6).

MBWENI, MBWENI MALINDI

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA 📸.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

#VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI, LAMI NYUMBA______________KODI TSHS LA...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

#VYUMBA_VIWILI INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBWENI, LAMI NYUMBA______________KODI TSHS LA...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

NYUMBA INAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM-TzMAHALI - MBWENI MPIJI________________UKUBWA KIWANJA CHAKE ~ SQ...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,100,000

STAND ALONE VYUMBA VITATUIKO ~ DAR ES SALAAM-TzMAHALI - MBWENI UBUNGO________________KODI ~ TSH 1,...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 480SQM 1700MBWENI JKTKINATAZAMA BARABARA YA LAMIdalalimwembamba_mbweni 0712...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

Nyumba inauzwa ipo Mbweni JKT, inatizama Barabara ya Lami.SQM 1,000BEI Bilioni 1.2Hati ya umiliki ip...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGO——————...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 800,000,000

FOR SALE Tsh MIL 800Area size sqm 700document ( Title deed )Located in mbweni jktdalalimbezibeach_go...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGO——————...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

• • • • • •NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENT IPO MBWENI JKT INA VYUMBA VIWILI VYA KULALAKIMOJA MASTA SIT...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000,000

PLOT FOR SALE Tsh MIL 600Area size Sqm 1387Located At mbweni Jkt Block No 8document ( Title deed )07...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

👉🏛️ APARTMENT INAPANGISHWA VYUMBA VIWILI, MASTER MOJA, SITTING ROOM, PUBLIC TOILET, JIKO KUBWA,AC,...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

LODGE INAUZWALocation: mbweni, Dar-Es-Salaam Tanzania SIFA ZA LODGE1. Ina Lodge yenye: -Vyumba 5 vyo...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba • • • • • •NYUMBA INAPANGISHWA APARTMENT IPO MBWENI JKT INA VYUMBA VI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGO——————...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGO——————...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

:𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBWENI#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚=======...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#VYUMBA_VIWILIIKO ~ DAR ES SALAAM-TzMAHALI - MBWENI ________________KODI ~ TSH 600,000/=KWA MWEZI _...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Nyumba inapangishwaMbweni mpijiInavyumba- 3Inajitegea ndani ya fensiBei laki-6#0689138795whatsapp #0...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

———————————-APARTMENT FOR RENT ——————LOCATION- nyumba ipo mbweni malindi Meter 200 toka lami ———————...