Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 5,800,000
Installment Allowed
Yes
Project
Yes

MRADI MPYA WA VIWANJA KISEMVULE MJINI.
Ofa yetu bado inaendelea.
Bei ni Million tano na laki nane Tu 5.8M tu vya makazi na vya biashara ni 7 millioni TU.
Piga/WhatsApp
0654 77 39 67
0752 74 47 81

▶️Viwanja vinapatikana KISEMVULE MJINI KABISA karibu kabisa na MBAGALA RANGA 3.
..
➡️Ni Viwanja Vizuri Na mji uliopangiliwa kisasa zaidi, viwanja vimepimwa ni tambarare na vimezunguka na huduma muhimu za kijamii, kama hospitali, shule za serikali , maji, umeme, vituo vya polisi na usafiri wa bajaji na bodaboda Tu.
..
▶️Ni MITA 900 TU kutoka LAMI usafiri NI wa Bajaj TSh 500/= na bodaboda ni TSh 1000/= paka kwenye mradi wetu.
..
➡️Ukubwa wa Viwanja vyetu.(sqm 200 ,400,600,1000)
Futi 40X50 SQM 200 Bei tsh 5.8 million

Futi 80X50 SQM 400 Bei tsh 11.6million.

Futi 120X100 SQM 800 Bei tsh 23.2 million.
..
Unauwezo wa kuonganisha viwanja viwili, vinne kulinganaa na kipato chako na ukubwa unaoitajia.
..
Utaratibu wa kulipia unaweza lipia kwa awamu au cash, malipo kwa awamu utaanza 50% hadi 70 %million tatu tu (TSh 3,000,000/=) kiasi kinachobakia utalipia ndani ya miezi 3 hadi 4

Usafiri wa kufika hapa KISEMVULE kutoka Kariakoo, Posta, Tandika, Temeke ni uhakika muda wote unapanda gari moja tu kutoka maeneo hayo.

NB. Karibu kuona viwanja kila siku tupo kuanzia saa 2 asubuhi paka 10 jioni.
Ofisi zetu zipo VIKINDU

Safari hii ushindwe ww tu kujenga na Chagile Real Estate.

Ardhi ni hazina na fainali ni uzeeni kijana mwenzangu.
#viwanjavikindu #yangasc #simbasc #viwanja #bongo #oman

Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]
chagile_real_estate_tz
Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 250,000

🏠 NAPANGISHA APARTMENT – SINGIDA MJINI✨ Sifa za Nyumba:🛏️ Vyumba 2 vya kulala (1 Master)🛋️ Sebule...

Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 17,000,000

Mpamaaa Dodoma /mlimwa CViwanja vinaanzia ukubwa kuanzia SQM 600+ Bei ni 17 milion 📞 0655527289✅mpa...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 250,000

🏠 NAPANGISHA APARTMENT – SINGIDA MJINI (KARAKANA)✨ Sifa za Nyumba:🛏️ Vyumba 2 vya kulala – vyote s...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 23,000,000

*KIWANJA KIZURI KINAUZWA KWA MATUMIZI YA HOTEL VIKONJE DODOMA MJINI*Kiwanja hiki cha Hotel kina Hati...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 45,000,000

KIWANJA KINAUZWA ILAZO DODOMA MJINIILAZO BLOCK BD PLOT 306KINA UKUBWA WA 732 SQMKINA HATIKIPO jiran ...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 65,000,000

*KIWANJA KIZURI KINAUZWA CHIDACH SOUTH DODOMA MJINI*Umbali wa Kilometer 7 tu kutoka katikati ya Ji...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 800,000

⚜️ 3 Bedroom House Classic Sana⚜️ Umeme ,Maji unajitegemea ⚜️ Mahali 👉 Uzunguni Dodoma ( Mjini kabi...

Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 5,000,000

INAPANGISHWA PEKE YAKEKWENYE FENSI 💰KODI MILION 5* KWA MWEZI⚜️ MUUNDO WA NYUMBA - Vyumba Sana ( 7...

Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 5,000,000

INAPANGISHWA PEKE YAKEKWENYE FENSI 💰KODI MILION 5* KWA MWEZI⚜️ MUUNDO WA NYUMBA - Vyumba Sana ( 7...

Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 120,000,000

NYUMBA INAUZWA IKO MJINI-TOWNKWA WASIOFAHAMU AREA E(IKO JIRANI NA SUMMIT HOTEL MORO-DASLAAM)________...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 250,000

🏠 APARTMENT INAPANGISHWA – SINGIDA MJINI📍 Karakana🛏️ Vyumba 2 – VYOTE MASTER🛋️ Sebule kubwa sana...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 250,000

🏠 APARTMENT INAPANGISHWA – SINGIDA MJINI (UKOMBOZI)Vyumba 2 (1 master)Sebule + jiko lenye makabatiP...

Nyumba/Apartment inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 460,000,000

* APARTMENT ZINAUZWA ILAZO WEST DODOMA MJINI*⚜️ Muundo wa Nyumba ( Apartment. )⚜️ Master Jiko Clas...

Nyumba/Apartment inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 460,000,000

* APARTMENT ZINAUZWA ILAZO WEST DODOMA MJINI*⚜️ Muundo wa Nyumba ( Apartment. )⚜️ Master Jiko Clas...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 8,000,000

🏡 NAUZA KIWANJA 🔥📍 Eneo: Nyuma ya Mizani ya Magari🏘️ Mtaa: Njuki – Singida Mjini📐 Ukubwa: SQM 2...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 8,000,000

NAUZA KIWANJAEneo: Nyuma ya Mizani ya MagariMtaa: Njuki - Singida MjiniUkubwa: SQM 2,079 (63 × 33)Be...

Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 6,500,000

🏡 Viwanja Vilivyo Fuatana – Mmiliki Mmoja 🔥📌 Kiwanja 1: SQM 800 – 3.6M📌 Kiwanja 2: SQM 1200 – 6....

Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 55,000,000

Nyumba inauzwa nikubwa eneo kubwa imejegwa kisasa ipo Mbeya Mjini isyeisye itez Kalibu na kwa mtawa ...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 200,000

⚜️ VYOO VYA KULIPIA VINAPANGWA ⚜️ Vyoo viwili vinapangishwa ⚜️ Mahari 👉 Barabara ya 10 Dodoma Mjin...

Viwanja vinauzwa Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 9,000,000

MRADI DODOMA MJINI ‼️‼️‼️‼️‼️SIFA ZA MRADI-MRADI UPO METER 100 KUTOKA BARABARA KUU-KM 6 KUTOKA DODOM...