Viwanja vinauzwa Mkuranga, Pwani


Swali? Mashamba yanapatikana wapi?
Jibu: lake manzi inapatikana mkuranga, mwarusembe na kimanzichana km 1.5 kutoka lami…
Swali: huduma za kijamii zimefika?
Jibu: maji yapo umeme upo karibu
Swali: status ya mashamba?
Jibu: tumefanyia uchunguzi wa kina, maeneo hayana migogoro yoyote ya ardhi, mtu akilipia atapata hati
Swali: bei ya shamba?
Heka moja mil 14 maongezi yapo?
Swali: miliki wa mashamba ni nani?
Jibu: MILIKI NI MIMI
Swali: mashamba yanafaa kwajili ya shughuli gani,”?
Jibu: kulima, kufuga, makazi, hoteli, bnb au kuwekeza kwa ajili ya baadaye
Kama una swali jingine niulize hapo chini ntajibu
Namba zangu nipigie au whatsapp 0785367831


















