Viwanja vinauzwa Msongola, Dar Es Salaam


VIWANJA VINAUZWA LOCATION MSONGOLA JIJI LA ILALA
VYENYE UKUBWA TOFAUTI TOFAUTI MFANO FUTI 45X40 BEI 7 MILION
IYO MILION 7 KWA VIWANJA VYA MBELE
VYA NYUMA BEI NI MILION 6 UKUBWA WA AINA MOJA VYOTE
UMBALI KUTOKA KWENYE RAMI DK 3 UKISIMAMA KWENYE RAMI SITE UNAIYONA
NA PIA GARI MOJA MPAKA MJINI