Viwanja vinauzwa Mtumba, Dodoma


TUNAUZA VIWANJA VIZURI JIRANI NA BARABARA YA MZUNGUKO (OUTER RING ROAD DODOMA)
______
- Viwanja vipo Mita 100 kutoka bandari kavu
- Km 5 kutoka kutoka Ring road mpaka mtumba
- Km 17 kutoka ring road mpaka katikati ya mji
- Viwanja vyote vimepimwa na vipo maeneo
- Huduma zote za kijamii zipo (Maji, Umeme, Barabara)
_______
BEI
Kwa Sqm 1 kuanzia Tsh 15000 hadi 30000 kutegemeana na matumizi ya eneo kama ni makazi, biashara au makazi na biashara.
_______
Kwa mawasiliano/ Maelezo zaidi tupigie
☎️ 065 751 0444
-