Viwanja vinauzwa Nala, Dodoma


VIWANJA 12 VINAUZWA DODOMA
Ukubwa: kuanzia sqm 942 hadi sqm 2023
Bei: Chagua chochote, bei ya square meter 1 ni shilingi 10,000
Mfano: sqm 942 x 10,000 = 9,420,000
Sqm 1250 x 10,000 = 12,500,000
Jumla ya eneo lote Lina sqm 16,221
Viwanja vipo: Nala, jirani na lami, barabara ya kuelekea Chuo kikuu cha afya DECOHAS.
Kwa maelezo zaidi, Contact 0670-925-159
#MilikiArdhiNasi



















