Viwanja vinauzwa Ntyuka, Dodoma


DODOMA KUMENOGA 📌💥💥
Eneo ni Chidachi Ntyuka (Karibu na SGR)
SIFA ZA VIWANJA
📌Viwanja vina Hati
📌Viwanja vipo ndani ya km 5 kutoka city center
📌Eneo limejengeka tayari ✅
📌Miundombinu kama vile maji,umeme na barabara vipo site
📌Viwanja vinafaa kwa makazi na Biashara
📌Ukubwa wa viwanja ni sqm 525,542 na 748
📌Bei kwa sqm 1 ni Tsh.25,000/=
📌Malipo kwa cash na awamu pia
Kwenda site kuona viwanja ni bure na kila siku
Mawasiliano: 0768 333 054


















