Viwanja vinauzwa Nzuguni, Dodoma


VIWANJA 10 VINAUZWA KWA PAMOJA
MAHALI-NZUGUNI (MTAA WA MSANGABIJILI)
BARABARA-MORO/DAR ROAD
UKUBWA WA KILA KIWANJA-570Sqm
DOCUMENT-HATI YA KILA KIWANJA INATOKA KWA JINA LAKO AU UNAWEZA VITOLEA HATI MOJA
UMBALI TOKA TOWN-12KM
BEI-55M (MAONGEZI YAPO)
PIA UKIHITAJI ZAIDI YA 10 UNAPATA
NB- HII NI KWA WALE WANAOJUA UWEKEZAJI/THAMANI YA ARDHI