Viwanja vinauzwa Pugu, Dar Es Salaam


Fursa Adimu ya Kumiliki Kiwanja Chako Pugu Station! π‘β¨
Eneo: Pugu Nyuma Tu β Nyuma ya Kituo cha Mafuta cha OLYMPIC PETROL STATION (Pugu Dumpo)
Umbo la Ardhi: Tambarare, Safi Kabisa
Ukubwa: Viwanja 61 vya ukubwa mmoja β Kwanzia Sqm 200 kila kimoja
Bei: Kwanzia Tsh 3,500,000/= tu kwa kila kiwanja
Umbali: Dakika 10 tu kwa miguu kutoka barabara kuu ya lami (meter 50 pekee!)
Faida za eneo hili:
- Miundombinu ipo (umeme, maji ya DAWASCO viko karibu sana)
- Eneo lina maendeleo makubwa tayari β majirani wamejenga na wanaishi
- Panafikika kwa gari zote (hadi mlangoni)
- Eneo zuri, tulivu na salama kwa ajili ya makazi
- Bei ni ya chini sana ukilinganisha na maeneo mengine ya Pugu Station
Hii ni offer safi kabisa β hakuna mchepuko, hakuna gharama za ziada!
Unachohitaji ni kuja uone mwenyewe, ukipenda unalipa na kumiliki leo hiyo.
Site Visit: Tsh 10,000 tu
Piga simu sasa kabla viwanja havijaisha!
π 0688 412 890
WhatsApp: https://wa.me/255688412890
dalaliwakishua
"Miliki Kesho Yako Leo!" πͺπΎπ
Vi wanja 61 tu ndio vipo β vinamalizika haraka sana!
Njoo leo, chagua kiwanja chako, na anza kujenga nyumba yako ya ndoto kesho! π β€οΈ
#Viwanja #Dalali #Jenga #Pesa #Hela #DarEsSalaam #2026


















