Viwanja vinauzwa Salama, Mara


ð¿ Chagua Kiwanja Chako, Chagua Kesho Yako! ð¿
Hakuna uamuzi mzuri kama kuchagua sehemu utakayojenga ndoto zakoâna ndiyo maana tunakukaribisha ujionee mwenyewe viwanja halali, vilivyopimwa na vyenye hati, vilivyoandaliwa kwa ajili ya maisha bora na uwekezaji wenye uhakika.
ð¡ Tembelea site na ujichagulie kiwanja kinachokufaa: Kila eneo lina upekee wakeâumbali, mandhari, ukubwa na matumizi. Hii ni nafasi yako kuchagua kile kinacholingana na malengo yako, iwe ni kujenga makazi, kuanzisha biashara au kuwekeza kwa ajili ya faida ya baadaye.
âš Kwa nini uchague kwetu?
â Viwanja vilivyo salama na vinavyokidhi vigezo vyote vya kisheria
â Bei rafiki na malipo yanayobadilika kulingana na uwezo wako
â Mazingira tulivu na huduma muhimu karibu
â Huduma bora na mwongozo kutoka mwanzo hadi mwisho
Uamuzi wa leo ndio utaunda kesho yako.
ð Karibu ujichagulie kiwanja chakoâpale ndoto zako zinapoanza kuwa halisi!
ð MIRADI YETU
ðBUYUNI GULUGWIDA ðððððððððð
ððð;ðð¢ðð ðŠðšð£ð ð²ð ðŠð«ððð ð§ð¢ 26,000/- ð€ð®ð¥ð¢ð©ð ð€ð°ð ððð¬ð¡ ðð® ðð€ðšð©ðš ðŠð¢ðð³ð¢ 18
ðBUYUNI (GULUGWIDA MTI MWEUPE)
Km 2 kutoka Baharini
Km 1 kutoka main road
Mita moja ya mraba
Cash&installment sh 23,000 kwa mita moja ya mraba
Viwanja vya makazi ( Residential)
Mita moja ya mraba kwa sh 25000
Viwanja vya makazi biashara ( CR/ Commercial Residential)
Malipo kwa kidogo kidogo ndani ya miezi 18
ð Ofisi zetu: Makumbusho, Derm Plaza ghorofa ya 11
ð+255 748 303 601
Kumiliki ardhi ni kuandaa kesho ya vizazi na vizazi.
#ViwanjaKigamboni #AnzaSasa #ArdhiSalama HatiHalali BuyuniBeachplots LipaKidogoKidogo


















