Viwanja vinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


VIWANJA VINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO (VIWANJA VYA BENKI!)
📍 Eneo zuri sana, mtaa mzuri na salama
✅ Vimepimwa tayari – tambarare halisi
🏡 Vinafaa makazi binafsi au apartments
🛣 Panafikika kwa urahisi bila shida
Bei za moja kwa moja:
- 578 Sqm (13 Ankani) → Tshs 40,000,000
- 567 Sqm (14 Ankani) → Tshs 40,000,000
💼 Udalali 10% unalipwa na mnunuzi.
HII SI YA KUKOSA!
Njoo uone site leo upate lile unalohitaji sasa 🔥
Piga simu sasa: +255 688 412 890
dalaliwakishua
**"Miliki Kesho Yako Leo!"** 💪



















