Viwanja na Nyumba Tanzania

Tafuta viwanja na nyumba Tanzania

Sort By:
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kindai, Singida

Sh. 350,000

Aptment vyumba viwili moja na jiko bei 350000 kwa mwezi Nyumba ziko mbili maeneo kindai daraja

Nyumba inapangishwa Mandewa, Singida

Sh. 120,000

Chumba mastar na jiko bei 120000 kwa mwezi nyumba ipo mandewa

Nyumba inapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Nyumba ipo Mwenge vyumba viwili moja mastar bei 250000 kwa mwezi