Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

Kibada, Dar Es Salaam
4 days ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada stand
<> nyumba Ina chumba kimoja master sebule na jiko mpya kali
◾️nyumba iko fenced
◾️nyumba ina parking
◾️nyumba ina electric ⚡️
◾️nyumba ni apartment
<> asking price 250k TSH! per month
moja wa dalali kisiwani
<> malipo kuanzia miezi minne
◾️umeme luku yako
◾️Maji inajitegemea
◾️services charge Elfu ishilini
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837















