Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam









Kibamba, Dar Es Salaam
1 day ago
Sh. 140,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #140k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Maji yanaflow
Umeme 2 kuna submeter
===
Bei: 140,000 Kwa mwezi × 3
===
Usafiri bodaboda au Bajaji umbali KM 3
===
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
##0688617926
##0655256419















