Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Shule Kibwegere, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
3km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE #120K
Chumba cha kulala sebule na choo ndani
Kodi 120,000 kwa mwezi × 3
Umeme submeter, maji yanaflow chooni
Parking ipo
Umbali KM 3 Usafiri bodaboda
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















