Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kijichi Upendo, Dar Es Salaam


Kijichi, Dar Es Salaam
12 hours ago
Sh. 200,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
📍KIJICHI UPENDO
APARTMENT INAPANGISHWA KODI 200k x 6
CHUMBA MASTER SEBULE JIKO
nyumba hipo ndani ya fence ya Kulala gari nyumba hipo karibu na stand.
hupatikanaji wa nyumba Mtoni Kijichi umekuwa ni mgumu sana hivyo ukiona post kama hii wahi mapema kuja kulipia mapema kabla hahijalipiwa.kama hupo mbali tuma kodi Kwa dalali Dalali Bura Kijichi
Kwa maelezo zaidi yaliyonyooka mpigie dalali Bura
☎️
#dalalimwanamke #dalalikinondoni #diaspora
#diamondplatnumz_trends #nyumbazanguvu








