Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 300,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

1

Bafu

1

Huduma na Sifa

Luku Inajitegemea
Maji
Tiles
Gypsum
Sliding Windows
Parking Space

Maelezo

HAYA BEBA PESA NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA KILA GETI WAPANGAJI 2 TU

#SEBULE KUBWA
#CHUMBA WASTANI
#JIKO ZURI
#CHOO CHA NDANI

#LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NDANI
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA PARKING YA KUTOSHA

LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI

BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAAZARI YA KULINDA NYUMBA

0713661530_0783661530