Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kisiwani, Dar Es Salaam
Kisiwani, Dar es Salaam
2 hours ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location kisiwani
Nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko nzuri
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking price 250k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji bule
Umeme luku yako
Services charge elfu ishilini
Mawasiliano















