Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Kwa Magufuli, Dar Es Salaam




Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
5km
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT FOR RENT
Hiyo appartment(-(WB1), MBEZI KWA MAGUFULI/BR. YA GHOBA itakua wazi kuanzia trh 01/06👇
Ni MASTER KUBWA na SEBLE
>Mkabati ya nguo yapo
>Makabati ya vyombo yapo
>Meter yake ya Dawasco
>Jiko la kisasa lenye makabati yake
>Ina LUKU yake peke yake
>Choo cha kukaa
>Heater ya maji ya moto Bafuni na jikoni
>Finishing ya kisasa(nje na ndani)
>Parking ya kutosha
>Garden & Maua
>Fensi ya kisasa kabisa
>Pevements nje kote
>Pagola ya kupumzika/kukutana na wageni wako
>Public THOILET ya nje zipo
>CCTV CAMERA ZIPO
>Karibu na LAMI dakika 5
NB:👇
>Maji DAWASCO-FREE👍
>ULINZI -FREE👍
>KUZOA TAKA-FREE👍
>USAFI WA NJE-FREE👍
>KUTUNZA BUSTAN-FREE👍
>KODI YAEKE NI TSH 350,000/Mwezi(1). Tunapokea👇
Miezi ( 6)-2,100,000/=
KARIBU SANA👌!















