Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Luguruni, Dar Es Salaam







Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI, DK 10 TOKA KITUONI AU BODA 1000
__
Sebure
Chumba chako ndani
Choo ndani chako
Sehemu ya jiko nzuri
Ipo ndani ya fensi na hapa zpo 7, ila hii ndio ipo wazi
Umeme Luku yako
Maji mnashea bili
Maji dawasa yanaflow chooni
__
Kodi 150,000/= × 6
DALALI MWEZI 1
KUONA SITE 20 ELF
0713 320 608
0686 334 182















