Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Bunju - Mtaa wa Kishua, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 250,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Huduma na Sifa

Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Sebule
Jiko
Mpya
Umeme

Maelezo

🌟 WALE WAPENZI WA NYUMBA MPYA 🌟
🔥 Imebaki 1 tu – Unaingia Tarehe 15 Mwezi huu

📍 Eneo: Bunju – Mtaa wa Kishua 🤣
💰 Kodi: TSh 250,000 kwa mwezi

🏠 Muundo wa Nyumba:
• 🛏️ Chumba 1 Master
• 🛋️ Sebule
• 🍽️ Jiko
• ⚡ Umeme unajitegemea
• 🚿 Maji unajitegemea

📞 Wasiliana Nami:
📲 0687 800 788
📲 0713 958 395